Ajuza na vijana 500 wamefaidika na msaada hiyo ambayo imewafaidi pakubwa tangu kuzuka kwa janga la Korona.
Msaada huo ambayo ni kupitia muungano na Saytha Sai Ikishirikiana na Wakf wa Manje umesema kuwa zoezi hili litakuwa endelevu na jamii maskini zitazidi kufaidika kupitia kwa msaada mbalimbali ikiwemo, barakoa na viyeyuzi.
Akizungumza mmoja wa wakaazi hao alinena kuwa Mheshimiwa Manje amekuwa akiwa kumbuka maajuza hao na kundi la vijana kila mara kando na mlipuko wa Janga la Korona inchini.
Comments