MKURUGENZI WA BIMA YA TAIFA NHIF GEOFREY GITAU Viongozi 14 kutoka bima ya taifa NHIF watafikishwa mahakamani mapema jumanne ilik kujua hatma yao kuhusu kesi inayowakabili inayayohusu ubadhilifu wa fedha na kosa la kutoshirikiana na maafisa jasusi kuhusu matumizi ya fedha hizo za umma Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Nordin Hajji katika taarifa kwa vyombo vya habari alisema wawili hao Geofrey Gitau ambaye ni mkurugenzi wa bima ya taifa pamoja na mwenzake anayesimamia maswala ya fedha na uwekezaji Wilbert Kiplagat wanakesi ya kujibu hivyo kulazimika kulala rumande kwa siku ya pili mtawalia ‘’Maafisa walikataa kuwasilisha stakabadhi zinazo orodhesha namna walivyo walipa kampuni ya webtribe mamillioni ya hela.’’anasema hajji.
This is an online platform that publishes timely articles, commentary, reports on current events and issues. It blends traditional journalism with a more personal or informal writing style.