Ni miaka 2000 na zaidi ambapo sikukuu za pasaka za sheherekewa majumbani.
Mapema leo Mbunge wa Kajiado Kaskazini Mheshimiwa Joseph Manje ametoa ujumbe kwa wadau kuhakikisha wanajitunza na kujilinda na virusi vya Korona.
Haya yanajiri baada ya taarifa kutoka wizara ya afya kuandikisha idadi kubwa ya wagonjwa ambao wamepona viruzi vya korona
Comments