..
Ni maarufuku na hatari kwa viongozi kutumia janga la Corona kama njia ya kujitafutia umaarufu.
Ni kauli iliyochapishwa katika Gatezi la taifa maarufu Kenya Gazette. Tamko hili linajiri baada ya viongozi wa kaunti na maeneo mbunge mbalimbali kutoa ahadi kwa umma kuwa chakula cha msaada kitatolewa.
Aidha kwa sasa idadi ya maambukizi COVID - 19 inazidi kuwa kubwa hali inayopelekea Asilimia 68 ya wakenya kupendekeza kufungiwa kabisaa kwa kila mtu.

Comments