![]() |
MKURUGENZI WA BIMA YA TAIFA NHIF GEOFREY GITAU |
Viongozi 14 kutoka bima ya taifa NHIF watafikishwa mahakamani
mapema jumanne ilik kujua hatma yao kuhusu kesi inayowakabili
inayayohusu ubadhilifu wa fedha na kosa la kutoshirikiana na maafisa
jasusi kuhusu matumizi ya fedha hizo za
umma
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Nordin Hajji katika taarifa kwa vyombo vya habari alisema wawili hao Geofrey Gitau ambaye ni mkurugenzi
wa bima ya taifa pamoja na mwenzake anayesimamia maswala ya fedha na
uwekezaji Wilbert Kiplagat wanakesi ya kujibu hivyo kulazimika kulala
rumande kwa siku ya pili mtawalia
‘’Maafisa walikataa kuwasilisha stakabadhi zinazo orodhesha
namna walivyo walipa kampuni ya webtribe mamillioni ya hela.’’anasema hajji.
Comments