![]() |
Waziri wa Afya Mutahi Kagwe . |
Akizungumza mapema leo waziri Mutahi alisema kuwa ugonjwa huo umeripotiwa nchini baada ya binti mwenye asili ya kiafrika umri wa miaka 27 na kutoa taadhari kwa umma kwa jumla.
"Hii leo wizara ya afya imedhibitisha kisa cha binti mwafrika ambaye amepatikana kuwa na virusi vya Korona ambayo imegharimu maisha ya watu wengi ulimwenguni." asema Mutahi Kagwe.
Aidha kwa mujibu wa ripoti kutoka wizara hiyo kaunti mbalimbali zipo kwenye hatari ya makali ya virusi hivi.
Comments